Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Nangu afunguka furaha ya kufunga bao lake la kwanza

19 Oct 2025

Nangu amesema baada ya kupewa taarifa kuwa ataanza kikosi cha kwanza katika mchezo dhidi ya Nsingizini Hotspurs alipata hofu kidogo ingawa alijipa matumaini na kufuata kila alichoelekezwa na Meneja, Dimitar Pantev.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Nangu amezungumzia pia jinsi alivyofunga bao hilo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story