Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Naby afurahia kufunga bao la kwanza la mashindano

6 Jan 2026

Naby amesema ni furaha kufunga bao ambalo limeiwezesha timu kutinga nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Naby amezungumzia pia mchezo wa nusu fainali dhidi ya Azam FC utakaopigwa Alhamisi Januari, 8.

Advertisement
Back to homepage
Share this story