Mzee Dalali amesema mwaka 1993 walitufanyia hila tukashindwa kuchukua ubingwa mbele ya Hayati, Rais Ally Hassan Mwinyi na Jumapili tutakuwa na Rais Dkt. Hussein Ally Mwinyi na hatuko tayari kuona hali hiyo ikijirudia.
Tazama video hii hadi mwisho Mzee Dalali ameweka bayana kitakachomkuta yeyote atakayeingia anga zetu.