Mzamiru amesema wachezaji wapya waliosajiliwa watakuwa msaada mkubwa kwa timu kutokana na viwango wanavyoonyesha mazoezini na jinsi wanavyojituma.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mzamiru amezungumzia jinsi anavyouona msimu huu utakavyokuwa.