Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mwenyekiti Mangungu awapongeza wachezaji kwa ushindi

5 Jan 2025

Mangungu amesema pamoja na hali ya hewa kuwa ni baridi lakini wachezaji wamepambana na kufanikisha kukusanya alama tisa mpaka sasa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mangungu amezungumzia pia kuhusu mechi ijayo dhidi ya Bravos.

Advertisement
Back to homepage
Share this story