Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mwenyekiti Mangungu asema hatutishwi na yeyote

7 Apr 2025

Mangungu amesema katika Uwanja wa Benjamin Mkapa haujawahi kushindwa jambo na kupitia umoja na mshikamano wetu hakuna namna Al Masry wataweza kuepuka kipigo kutoka kwetu kikubwa mashabiki wajitokeze kwa wingi uwanjani.

Tazama video hii hadi mwisho Mangungu pia amefunguka ushirikiano mkubwa tunaopata kutoka Serikalini katika kipindi hiki cha maandalizi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story