Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mwanasheria Mkuu wa Serikali akabidhi milioni 10 za goli la mama

15 Dec 2024

Mh. Johari amesema Dkt. Samia ni mdau mkubwa wa michezo na mara zote amekuwa akitamani kuona timu za Tanzania zikifanya vizuri kwenye michuano ya Kimataifa na ndio maana amekuwa akitoa hela kwa ajili ya hamasa.

Tazama video hii hadi mwisho nahodha wa timu Zimbwe Jr amemshukuru Dkt. Samia kwa niaba ya wachezaji.

Advertisement
Back to homepage
Share this story