Aisha ambaye ni mmoja wa mashabiki ambaye anasafiri kila mahali kwenda kuisapoti timu amesimulia pia jinsi kipigo cha mabao sita tulichowafunga Yanga kilivyomfanya Mwalimu Mkuu kuumwa.
Tazama mahojiano haya mpaka mwisho, Aisha amesimulia pia kaka yake alivyodakwa na Polisi baada ya kujaribu kuruka ukuta wa Uwanja wa Uhuru.