Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mwameja afunguka sababu ya mechi dhidi ya Waarabu kuwa ngumu

16 May 2025

Mwameja amesema timu nyingi kutoka Uarabuni zimekuwa na matukio ya kunyong'onyeza wapinzani ndio maana wanakuwa na kisasi katika mechi za marudiano na ndicho kinachomfanya michezo dhidi yao kuwa migumu na ushindani.

Tazama mahojiano haya hadi Mwameja amezungumzia mchezo wetu wa fainali dhidi ya RS Berkane kesho.

Advertisement
Back to homepage
Share this story