Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mwalimu akubali Dodoma Jiji sio kitoto

12 Apr 2026

Mwalimu amesema haikuwa kazi rahisi kwakuwa mara zote wamekuwa wakitupa upinzani mkubwa lakini kujituma na ushirikiano wa wachezaji ndio siri ya ushindi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mwalimu amezungumzia pia historia yake akiwa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid azitaja Mbuni FC na Mawenzi Market.

Advertisement
Back to homepage
Share this story