Mshambuliaji Seleman Mwalimu ameahidi kuendelea kufunga mabao kila atakapopata nafasi ili kuisadia timu kupata matokeo.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mwalimu amezungumzia mchezo ujao dhidi ya Stede Malien.