Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mwalala autaka ufungaji bora SLWPL

17 Nov 2023

Mwalala amesema yeye kama mshambuliaji atahakikisha anafunga kila inavyowezekana ili kuisaidia Simba Queens kuibuka na ubingwa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Mwalala amezungumzia pia kuhusu maandalizi yanayoendelea kwa sasa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story