Mutale amesema tuliingia kwenye mchezo wa jana tukiwa tunahitaji alama tatu na jambo la kushukuru zimepatikana kwa kuonyesha kiwango safi na mashabiki wamefurahi.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Mutale amesema baada ya mapumziko ya kupisha kalenda ya FIFA tutarejea kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa.