Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mutale ataja siri ya kiwango chake

27 Mar 2025

Mutale ambaye amechaguliwa mchezaji bora wa mechi amesema isingewezekana kama asingepata ushirikiano kutoka kwa wachezaji wenzake asingeweza kufanikisha hilo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mutale amezungumzia pia atakavyorejesha makali yake pamoja na mchezo ujao dhidi ya Al Masry.

Advertisement
Back to homepage
Share this story