Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mutale amesema tulistahili kutwaa ubingwa

25 May 2025

Mutale ambaye amechaguliwa mchezaji bora wa mchezo huo amesema tangu kuanza kwa mashindano haya tulikuwa bora na hakufika fainali kwa bahati bali jitihada.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mutale amekiri kufurahi kuchaguliwa mchezaji bora ingawa ingependeza zaidi kama tungetwaa ubingwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story