Wawili hao wamesema haikuwa rahisi na Zamalek walikuwa 'wamoto' Afrika nzima ilikuwa inawaogopa lakini walikuwa majasiri na waliapa kuhakikisha tunawatupa nje na tulifanikiwa..
Tazama mpaka mwisho kuona mahojiano yote waliyofanya na Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally.