Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mukwala asimulia alivopokea taarifa ya kutakiwa kujiunga nasi

16 Jul 2024

Mukwala amesema Simba ni timu kubwa Afrika na kila mchezaji anatamani kucheza hapa hivyo hata yeye aliamini kuna siku atajiunga nasi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mukwala amezungumzia pia kuhusu presha ya mashabiki.

Advertisement
Back to homepage
Share this story