Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mukwala afurahia kufunga bao la ushindi

1 Nov 2024

Mukwala amesema wakati anaingia alikuwa anajua atafunga bao na amefanikiwa kufanya hivyo kitu ambacho amepanga kukifanya mara zote

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mukwala amezungumzia mipango yake ya msimu huu mzima.

Advertisement
Back to homepage
Share this story