Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mukwala afunguka furaha yake baada ya kupiga hat trick

1 Mar 2025

Mukwala amesema kama mshambuliaji lengo lake akiingia uwanjani ni kuhakikisha timu inapata mabao mengi kwa yeye kufunga au kusaidia kupatikana (kutoa Assisti).

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mukwala amewapongeza mashabiki kwa kujitokeza kwa wingi uwanjani kuwapa sapoti wachezaji.

Advertisement
Back to homepage
Share this story