Simba Sports Club
News

VIDEO: Mtanzania anayeishi Morocco aelezea jinsi mechi yetu dhidi ya Raja itakavyokuwa

31 Mar 2023

James ambaye anasoma nchini Morocco amesema nguvu kubwa wanayoipata Raja wakiwa nyumbani ni uwepo wa mashabiki wao ambao wanashangilia kwa nguvu mwanzo mpaka mwisho.

Hata hivyo James ambaye ni shabiki wa Waydad Casablanca amesema anaamini tunaweza kupata ushindi kwenye mchezo wa leo kama walivyofanya kwetu.

Advertisement

Tazama mpaka mwisho mahojiano yote aliyofanya na Meneja Habari na Mawalisiano wa klabu, Ahmed Ally.

Back to homepage
Share this story