Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Msimu umeisha tunaenda kufanya tathmini

28 May 2024

Ahmed amesema baada la msimu kumalizika rasmi leo zoezi linalofuata ni usajili ambao msimu huu tunejipanga kutuvuliza vichwa zaidi ili kuleta wachezaji watakaokuwa na tija zaidi kikosini.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu ushiriki wetu wa Kombe la Shirikisho msimu ujao.

Advertisement
Back to homepage
Share this story