Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Msigwa akabidhi milioni 10 ya goli la mama

23 Feb 2025

Kwa wachezaji ikiwa ni zawadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Saluhu Hassan baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya CS Constantine kutoka Algeria.

Mh. Msigwa amesema Rais Samia anawapongeza wachezaji kwa kazi kubwa waliyofanya ya kuibuka na ushindi huo muhimu katika mchezo ambao haukuwa na mashabiki.

Advertisement

Tazama video hii hadi mwisho kiungo mkabaji Fabrice Ngoma ameahidi ushindi mnono zaidi katika mchezo wa robo fainali dhidi ya Al Masry utakaopigwa mwezi Aprili.

Back to homepage
Share this story