Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Msigwa afikisha salamu za Rais Dkt. Samia kwa wachezaji

8 Jan 2025

Msigwa ameyasema hayo wakati wa mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena alipokuwa akikabidhi Shilingi milioni tano kwa nahodha wa timu Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' ikiwa ni zawadi ya 'bao la mama' kutokana na ushindi huo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Msigwa amezungumzia pia tunachotakiwa kufanya katika mchezo unaofuata dhidi ya Bravos.

Advertisement
Back to homepage
Share this story