Huu ni utaratibu tuliyojiwekea wa kurejesha kwa jamii hasa watoto wenye uhitaji ili tunapomuomba Mungu katika mambo yetu mbalimbali aweze kutufungulia.
Tazama video hii mpaka mwisho Meneja Habari na Mawasiliano Ahmed Ally, Mwakilishi wa Kituo pamoja na Mwakilishi kutoka Mo Dewji Foundation wamezungumza kuhusu msaada huo.