Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mratibu wa timu azungumzia hali ya kambi nchini Misri

4 Aug 2025

Abbas amesema wachezaji wanafanya mazoezi asubuhi na jioni na wanaishi katika mazingira mazuri na hali ya hewa haina tofauti na nyumbani Dar es Salaam.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Abbas amezungumzia pia hali ya kikosi kwa ujumla tangu kuanza kwa Pre Season

Advertisement
Back to homepage
Share this story