Abbas amesema hali ya hewa ni joto kama ilivyo jijini Dar es Salaam na timu itafanya mazoezi usiku kwakuwa ndio muda ambao mchezo wetu utapigwa na ndivyo kanuni zinavyotoka.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Abbas amezungumzia ratiba nzima ya timu kuanzia kesho hadi Ijumaa.