Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mratibu wa timu afunguka maandalizi yalivyo jijini Arusha

7 Apr 2026

Abbas amesema baada ya kikosi kufika Arusha mchana leo jioni kimefanya mazoezi na kesho kitafanya mazoezi ya mwisho kabla ya Alhamisi kushuka dimbani.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Abbas ametoa ratiba nzima ya timu ikiwa jijini Arusha.

Advertisement
Back to homepage
Share this story