Simba Sports Club
News

VIDEO: Mratibu wa timu aelezea ratiba ya mazoezi

13 Jul 2023

Abbas amesema mazoezi yatakuwa ni asubuhi na jioni kwa siku nne za kwanza kabla ya utaratibu kubadilika baadae kulingana na matakwa ya benchi la ufundi.

Tazama hadi mwisho mahojiano haya ili kujua utaratibu mzima wa timu kwa siku zote itakapokuwa Uturuki.

Advertisement
Back to homepage
Share this story