Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mratibu wa timu aelezea ratiba nzima ya timu baada ya kufika Zanzibar

1 Jan 2026

Abbas amesema hali ya hewa ya Zanzibar haitofautiani na Dar es Salaam ambapo kikosi kitapata nafasi ya kufanya mazoezi kwa siku mbili kabla kushuka dimbani Jumamosi kuikabili Muembe Makumbi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Abbas ametoa ratiba nzima ya timu kuanzia sasa mpaka tutakapo hitimisha michuano hii.

Advertisement
Back to homepage
Share this story