Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mratibu azungumzia mabadiliko makubwa ya kikosi

13 Jul 2024

Abbas amesema tangu amejiunga rasmi na klabu mwaka 2015 hajawahi kuona mabadiliko makubwa ya kikosi kama hivi ambapo amesema anaamini kutokana na aina ya wachezaji waliosajiliwa na benchi la ufundi lililopo Simba mpya ya mataji inakuja.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Abbas amezungumzia pia hali ya timu kwa miaka mitatu iliyopita.

Advertisement
Back to homepage
Share this story