Abbas amesema baada ya kikosi kufika Morocco jana wachezaji walipewa mapumziko na leo programu ya mazoezi imeanza rasmi.
Tazama mahojiano hadi mwisho kujua kila kinachoendelea katika kambi ya timu yetu nchini Morocco.