Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mpanzu afikia asilimia 70 ya kiwango chake

26 Feb 2025

Mpanzu amesema kwa sasa amefikia asilimia 70 ya kiwango chake huku alifanya juhudi ili kufika asilimia 100 na kuisaidia timu kwenye mashindano mbalimbali.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Mpanzu amezungumzia kuhusu mchezo wetu unaofuata dhidi ya Coastal Union.

Advertisement
Back to homepage
Share this story