Morice amesema amefurahi kucheza mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu ya NBC huku akicheza vizuri na kushangiliwa na mashabiki.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Morice amefunguka kuhusu mchezo marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United.