Pesa hizo zimekabidhiwa na Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro kwa Meneja wa timu Mikael Igendia ikiwa ni sehemu ya kuthamini mchango mkubwa wa wachezaji.
Tazama Video hii hadi mwisho Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi amesema 'Mzigo' ni milioni 500.