Simba Sports Club
News

VIDEO: Mo asimulia tulivyowatoa Zamalek 2003

20 Apr 2023

Mo amesema kipindi kile Zamalek ilikuwa inatisha na kila timu inayokutana nayo hasa kutoka kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki ilikuwa ikipata kipigo cha mabao kuanzia matano na kuendelea.

Mo amesema baada ya kufanikiwa kuitoa Zamalek ndipo alipata lengo la kuwekeza klabuni.

Advertisement

Tazama hadi mwisho kuona mahojiano aliyofanya Mo na Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu Ahmed Ally huku akielezea pia mipango ya mchezo wa Jumamosi dhidi ya Wydad Casablanca.

Back to homepage
Share this story