Mnuka amesema malengo ya timu yametimia ya kutwaa ubingwa lakini na yeye pia anahitaji kumaliza kama mfungaji bora ndio maana alihitaji kupata bao.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mnuka amezungumzia kuhusu mpango wake katika mechi mbili zilizosalia.