Mnuka ambaye katika ushindi wa mabao 11-0 dhidi ya Mlandizi Queens ametupia mawili amesema pamoja na kuachwa kwa mabao mengi anaamini atarejea na makali yake.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mnuka amezungumzia mipango yake kuelekea mzunguko huu wa pili wa ligi.