Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mlinzi aligundua kipaji cha Kazi, Chilunda afunguka dili la Hispania

13 Sep 2023

Kazi amesema mlinzi wa getini wa shule ya Makumbusho ndiye aligundua kipaji chake kabla ya kukutana na kocha Nico Kiondo ambaye alimleta Simba B.

Kwa upande wake, Chilunda amesema amenzia kwenye majaribio ya vijana wadogo pale Azam FC kabla ya kucheza timu B na baadae timu ya wakubwa.

Advertisement

Tazama mahojiano haya hadi mwisho ili kujua masuala mbalimbali kuhusu nyota hawa na mipango yao ya baadae baada ya kutua Simba.

Back to homepage
Share this story