Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mligo afunguka mipango yake ndani ya Simba

28 Aug 2025

Mligo amesema anaamini vita ya namba itakuwa kubwa kutokana na ubora wa timu lakini amejiandaa kupambana kuhakikisha anapata nafasi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mligo amefunguka jinsi alivyopokea taarifa ya kuhitajika Simba huku akimtaja kocha Fadlu Davids kuwa amechangia pakubwa kujiunga nasi

Advertisement
Back to homepage
Share this story