Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mligo afunguka kushiriki Simba Day kwa mara ya kwanza

11 Sep 2025

Mligo amesema imekuwa jambo la kushangaza kwake kucheza mbele ya mashabiki wengi waliokuwa wanashangilia mwanzo mwisho huku akiweka wazi kuwa kila kilikuwa bora kwake.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mligo ameweka wazi kuwa malengo yetu kwa sasa ni kushinda mchezo wa Ngao ya Jamii.

Advertisement
Back to homepage
Share this story