Mkwabi amesema mafanikio tuliyopata huko nyuma yalionekana hayawezekani, yaliwesekana kutokana na wingi wa mashabiki ambao wanajitokeza uwanjani na Jumatano tuna nafasi kubwa ya kufanya vizuri.
Tazama video hii hadi mwisho Mkwabi amesema kufuzu nusu fainali ni jambo ambalo haliepukiki.