Simba Sports Club
News

VIDEO: Mkude afunguka ya moyoni baada ya miaka 12 Simba

22 Jun 2023

Mkude amemshukuru kocha Seleman Matola na Meneja Patrick Rweyemamu kwa kumuamini na kumleta Simba tangu akiwa kijana mdogo pamoja mpaka alipofika sasa.

Mkude pia amemshukuru Rais wa Heshima, Mohamed Dewji 'Mo' kwa kumuamini tangu alivyokuwa muwekezaji wa klabu.

Advertisement

Tazama hadi mwisho mahojiano yote aliyofanya Mkude akiwaaga Wanasimba baada ya kudumu nasi kwa miaka 12

Back to homepage
Share this story