Simba Sports Club
News

VIDEO: Miquissone awasili kambini Uturuki

25 Jul 2023

Baada ya kuwasili kambini Miquissone amesema amekuja kufanya kazi na yupo tayari kuitumikia timu kufikia malengo tuliyojiwekea msimu huu.

Kesho ataanza rasmi mazoezi ya utimamu wa mwili chini ya kocha wa viungo kabla ya kuungana na wenzake uwanjani.

Advertisement

Tazama hadi mwisho video hii kuona jinsi alivyofika na kupokelewa.

Back to homepage
Share this story