Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Miquissone aanza mazoezi Uturuki

26 Jul 2023

Miquissone ameanza mazoezi ya Gym asubuhi na jioni amekimbia Uwanjani peke yake ikiwa ni kutengeneza utimamu wa mwili.

Tazama hadi mwisho video hii kuona jinsi Miquissone alivyoanza mazoezi leo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story