Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mh.Msigwa akabidhi milioni 5 za bao la mama

21 Feb 2026

Msigwa amekabidhi pesa hizo Dodoma kwa nahodha Shomari Kapombe wakati timu ikiwa jijini humo kujiandaa na mchezo wa Ligi ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa kesho.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mh.Msigwa ametoa salamu za Rais kwa timu ambaye anaamini tutafanya vizuri zaidi kwenye michuano ya Afrika mwakani.

Advertisement
Back to homepage
Share this story