Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mh. Mwana FA awatoa shaka wachezaji kuhusu fainali Shirikisho Afrika

20 Apr 2025

Mwana FA amesema amefurahishwa na hali ya wachezaji kujisikia vibaya licha ya ushindi kwakuwa inaonyesha walihitaji kufanya vizuri zaidi na anaamini kwenye mchezo wa marudiano tutatinga fainali.

Advertisement
Back to homepage
Share this story