Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mh. Msigwa akabidhi milioni tano za bao la mama kwa timu

23 Sep 2025

Mh. Msigwa amesema lengo la Dkt. Samia ni kuona timu za Tanzania zikifanya vizuri kwenye mechi za kimataifa huku akiweka wazi kuwa ana matumaini makubwa ya kikosi chetu kuendelea vizuri.

Tazama video hii hadi mwisho nahodha wa timu, Shomari Kapombe ametoa neno la shukrani kwa Rais huku Kibu Denis nae akitoa ahadi Kuelekea mchezo wa marudiano siku ya Jumapili.

Advertisement
Back to homepage
Share this story