Balozi Mutayoba ambaye alikuwa uwanjani wakati timu ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya El Qanah jana ameweka wazi jinsi alivyovutiwa na viwango vya nyota wetu.
Tazama video hii hadi mwisho, Meja Jenerali Mutayoba amezipa ushauri pia timu nyingine za Tanzania.