Simba Sports Club
News

VIDEO: Mgunda: Mchezo dhidi ya Mtibwa utakuwa na ushindani mkubwa

10 Mar 2023

Mgunda amezitaja sababu hizo kuwa ni kutokana na Mtibwa kuwa nyumbani, ligi kuelekea ukingoni na pia tuliwafunga kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza hivyo watapambana na wao kutafuta pointi tatu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story