Mgunda amesema haikuwa rahisi kutoka nyuma na kupata mabao manne kitu ambacho amewashukuru wachezaji kwa kufuata maelekezo waliyowapa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Mgunda amezungumzia pia viwango vya wachezaji walivyoonyesha.